Matayarisho ya mazishi ya Marehemu Askofu Ravasi yaendelea
November 3, 2020
Na MACHUKI DENSON Takriban watu kumi na mmoja walifariki katika visa vya ajali kila siku mwezi Desemba mwaka jana. Haya ni kw amujibu wa mamlaka ya uchukuzi na usalama wa barababarani nchini NTSA. Kulingan a na NTSA mwezi huo wa disemba mwaka jana jumla ya watu 342 walifariki kutokana na[Read More…]
Na Adano Sharawe. Watu 2 wameripotiwa kufariki huku wengine kadhaa wakipata majeraha mbalimbali baada ya gari dogo kuhusika kwenye ajali mapema leo katika barabara ya Marsabit-North Horr. Ajali hiyo ilitokea eneo la Dadhach Boshe kilomita chache kutoka hapa mjini Marsabit. Gari hilo lilikuwa safarini likitokea North Horr. Inasemekana kuwa gari[Read More…]
Na Waihenya Isaac. Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Misri chini ya umri wa miaka 23 Shawky Gharib, amesema ni mapema mno kutangaza maamuzi ya kumjumuisha mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, kwenye kikosi chake kwa ajili ya michuano ya Olimpiki 2020, itakayofanyika mjini Tokyo, Japan. Tayari Misri imeshafuzu kushiriki[Read More…]
Na Adano Sharawe. Afisa mmoja wa polisi katika kambi ya Buluk, kaunti ndogo ya North Horr aliyeripotiwa kupotea siku 3 zilizopita amepatikana akiwa ameaga dunia. Konstabo Abdiaziz Mohammed Aden aliripotiwa kutoweka siku ya Jumatatu wiki hii. Mwili wake uliokuwa umeanza kuoza ulipatikana na wafugaji eneo la Araftis, lokesesheni ya Sabare[Read More…]