Matayarisho ya mazishi ya Marehemu Askofu Ravasi yaendelea
November 3, 2020
Matayarisho Ya Kumpumzisha Aliyekuwa Askofu Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Ambrose Ravasi Yanaendelea. Kwa Mujibu Wa Vika Jenerali Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Ambaye Pia Na Mkugenzi Mkuu Wa Radio Jangwani Padre Ibrahim Racho Ni Kuwa Ibada Ya Kwanza Ya Wafu Itandaliwa Jumatano Tarehe 4 Mwezi Huu[Read More…]
Rt. Rev. Peter Kihara, IMC