Author: Machuki

11 kati ya waliokamatwa Kargi Marsabit waachiliwa huru, wengine washtakiwa kwa kuvamia polisi

By Samwel Kosgey Washukiwa 11 kati ya 22 wa uvamizi wa kituo cha polisi cha Kargi ijumaa wiki jana wameachiliwa huru. Afisa wa polisi anayeongoza uchunguzi huo Albert Juma ameiambia mahakama kuwa amewaondolea mashtaka Washukiwa 11 kwa kukosekana ushahidi dhidi yao. Hata polisi wamewafungulia mashtaka washukiwa watatu kwa kumiliki silaha[Read More…]

Read More

Wasomi Warendile waunga mkono BBI, wataka 12% ya mgao wa kaunti kutengwa kwa ajili ya ufugaji

By Adano Sharamo Jamii ya Rendille kupitia muungano wa Wasomi wa jamii hiyo Rendille Professionals’  Association RPA wametangaza kuunga mkono Ripoti ya Upatanisho BBI.  Wakiongozwa na mwenyekiti wa Sunya Owre viongozi wa RPA wametoa mapendekezo yao 9 wanayodhamiria kuwasilisha wakati wa mkutano wa BBI unaotarajiwa kuandaliwa mjini Isiolo. Kati ya[Read More…]

Read More

Marsabit Leaders say they support BBI

Marsabit leaders have said they support the B BI as long as it is intended to unite Kenyans from tribal animosity. Led by the Marsabit Governor Mohamud Ali the leaders who have done consultations amongst themselves said they are supporting the president’s agenda of uniting the nation through BB

Read More

Subscribe to eNewsletter